**Great news: TAU main net will be launched on 25th May**

Show Posts

This section allows you to view all posts made by this member. Note that you can only see posts made in areas you currently have access to.


Messages - Kriptolab

Pages: 1 2 3 ... 16
1
This group smell phishy, the admin(s) are suspicion to and have bad history as scammers, take care guya

2
Tanzania / Re: JIBUSTISHE NA TAU/TAUT: Msimu wa 2
« about: 5 hours ago »
Siku ya SABA imekwisha

3
Tanzania / Re: JIBUSTISHE NA TAU/TAUT: Msimu wa 2
« about: 6 hours ago »

Waliofanikiwa #kujibustisha siku ya leo ndio hao.

Hongera kwao 🔥🔥

Vigezo na Masharti kuzingatiwa

Distribution status: ✅

4
TAUcoin Discussion / First Mobile Mining Release
« about: a day ago »
05 DAYS TO GO
Mainnet and first mobile mining coin release is almost here

https://twitter.com/tau_io


Am personally excited and can't wait for the event, How far have you prepared?

5
Siku ya SITA imekwisha

6

Waliofanikiwa #kujibustisha siku ya leo ndio hao.

Hongera kwao

Vigezo na Masharti kuzingatiwa

Distribution status: DONE

7
Tanzania / Re: JIBUSTISHE NA TAU/TAUT: Msimu wa 2
« about: 2 days ago »
Siku ya TANO imekwisha

8
Tanzania / Re: JIBUSTISHE NA TAU/TAUT: Msimu wa 2
« about: 4 days ago »
Siku ya TATU imekwisha

9
Tanzania / Re: JIBUSTISHE NA TAU/TAUT: Msimu wa 2
« about: 5 days ago »
Siku ya PILI imekwisha

10
Tanzania / Re: JIBUSTISHE NA TAU/TAUT: Msimu wa 2
« about: 6 days ago »
Siku ya KWANZA imekwisha

11
P2P Services / Re: Taucoin P2P Exchange Tanzania
« about: a week ago »
Safi sana, hii imetulia, nimeipenda sana, itatufanya tuonekane huko nje na wenzetu, ni mwanzo mzuri, asate sana kiongozi kwa kutuwekea hii

12
Quote:

TAU p2p Escrow - https://t.me/TAU_Planet, is  the best I can trust no delay  just call out for escrow  and he is always  there for you, this is my third  transaction and I really  really  like it here, thanks once more @Kriptolab

~ By Abdulmalik Aminat (https://t.me/TAU_Planet/3122)

13
Hi, Kriptolab.Thanks for your kindly advice. How can I understand "the p2p trading report with chat"? 
Nah! I it was a typo, I mean p2p trading report with chart, my bad lol

14
Maulizo (Inquiries) / Re: TAUcoin ni nini?
« about: a week ago »
Njia salama ya kuhifadhi TAU/TAUT ni kutumia mobile wallets (mokoba ya kwenye simu)

TAU/TAUT haina mahusiano na wala sio ponzi/MLM Scheme, TAU/TAUT ni mradi wa sarafu digital I, unao mruhusu mtu yeyote duniani, kuitumia kama njia ya mabadilishano kwa bidhaa au hudima zinazotolewa pale tu inapokubaliwa na wahusika

TAU na TAUT zote ni sarafu za kielekroniki, TAU imesanifiwa kutumika kwenye simu za mkononi, TAUT zimesanifiwa kutumika kwenye komputa mpakato, kila moja kati ya hizo zina blockchain yake yenyewe ila zinatumia protocol moja, proof of transaction (POT)

Sikujibu maswali ya kwanza sababu yamejibiwa vizuri sana, karibuni kwa maswali

15
Tanzania / Re: 🎉 DAKA MKWANJA NA TAUT🎉
« about: a week ago »

Wadau, zoezi la DAKA MKWANJA season 1 limeishia leo, hongereni wote mlioshiriki, na wale waliokosa jitahidini season 2 muwe miongoni mwa washindi, ni rahisi tu soma maelekezo, tena ya kiswahili kabisa, then shiriki

Pages: 1 2 3 ... 16