**Great news: TAU main net is on now | Enjoy!**

Author Topic: Elimika  (Read 176 times)

0 Members and 1 Guest are viewing this topic.

Offline Kriptolab

 • Global Moderator
 • Sr. Member
 • *****
 • *
 • Topic Author
 • Taucoin Pioneer
 • Posts: 280

+Info

Elimika
« about: January 23, 2019, 11:33:14 AM »
TAUcoin: SARAFU YAKO, Sehemu ya 1

 ni sarafu mpya ya kidigitali (Cryptocurrency) iliyoanzishwa kwa kusudi la kutunza thamani ya hali za kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja, kikundi ama taasisi yoyote inayohitaji kuitumia, na kukabiliana na mifumuko ya bei inayoathiri maeneo mengi ulimwenguni ulimwenguni. TAUcoin ni sarafu inayojitegemea pia ina tumia itifaki yake yenyewe inayoitwa Proof of transaction.

TAUcoin sio kampuni wala sio mradi wa kufanya uwekezaji (investment scheme), wala sio namna yoyote ya kujipatia fedha/kipato au faida kwa haraka kama wengi wanavyodhani. Ila ni mradi uliokusudia kumfikia kila mtu mwenye uwezo wa kuitumia duniani kote, na lengo lake kubwa ni kuwa fedha kamilifu na itumike na watu wa hali zote.

Endelea⏯▶️⏯ https://link.medium.com/E0qqoRoUHT
« Last Edit: January 30, 2019, 10:48:27 AM by Kriptolab »
📌Kriptolab📌 
🏆TAU - True Asset Unit || The Decentralized Coin || An Experimental Proof of Transaction Coin On Mobile Mining || POT🏆

Taucointalk

Elimika
« about: January 23, 2019, 11:33:14 AM »

Offline Kriptolab

 • Global Moderator
 • Sr. Member
 • *****
 • *
 • Topic Author
 • Taucoin Pioneer
 • Posts: 280

+Info

Re: Elimika
« Reply #1 about: January 30, 2019, 10:47:25 AM »
TAUcoin: SARAFU YAKO, Sehemu ya 2

Katika sehemu ya kwanza ya makala hizi, tuliangalia maana ya TAUcoin, lengo lake, na faida zake kwa ujumla wake. Leo tutaangazia namna gani mtu yeyote mwenye uelewa wa kutumia intaneti anaweza kuipata sarafu hii ya kidijitali ambayo amesanifiwa kwa kusudi la kumpa faida kila mkazi wa hapa ulimwenguni kuanzia wale wenye uwezo wa kuzifikia huduma za kibenki na wale ambao hawana uwezo kuzifikia huduma hizo ila wanauwezo wa kuwa na simu za kileo aka simu janja (smartphones).

Nawezaje kuipata hiyo sarafu (TAUcoin)?
Kama nilivyoandika kwenye makala ya kwanza, kwamba sarafu hizi za kidijitali zipo zaidi ya 2000 (2000+) na kila moja ina namna ya upatikanaji wake.

Endelea⏯⏸⏯
https://link.medium.com/sDycgE4sQT
📌Kriptolab📌 
🏆TAU - True Asset Unit || The Decentralized Coin || An Experimental Proof of Transaction Coin On Mobile Mining || POT🏆

Offline Kriptolab

 • Global Moderator
 • Sr. Member
 • *****
 • *
 • Topic Author
 • Taucoin Pioneer
 • Posts: 280

+Info

Re: Elimika
« Reply #2 about: February 06, 2019, 12:48:12 PM »
TAUcoin: SARAFU YAKO, Sehemu ya 3

Karibu tena leo tunapoendelea kufuatilia kwa makini makala hizi zinazotupa mwangaza wa tekinolojia hii mpya ya sarafu za kidijitali/kielekroniki. Makala iliyopita ( sehemu ya 2 ) tulijifunza ni kwa namna gani mtu anaweza zipata sarafu hizi za TAU, namna ya kuhifadhi pia kutunza kumbukumbu muhimu. Leo nasisitiza tena, kama umekusudia kuwa na TAUcoins au sarafu yoyote ile ya kidigitali, tunza private keys (funguo binafsi) zako mahala pa faragha ambapo wewe mwenyewe (au mwana familia mwingine anayeaminika) ndio mwenye uwezo wa kuzifikia ama kuzipata kwa haraka endapo zitahitajika.

Leo tena tutaangazia mambo machache ikiwemo: umuhimu wa kutunza hizo funguo binafsi (private keys), pia tutaangalia namna gani naweza kumtumia mtu pesa, namna gani naweza kupokea pesa, nawezaje kuhakikisha nimepokea malipo kutoka kwa mtu aliyenitumia pesa au kiasi fulani cha hizo sarafu (ninaposema pesa namaanisha hizo coins maana zina thamani kama pesa nyingine).

Endelea⏯▶️⏯
https://link.medium.com/gudKVa9e5T
📌Kriptolab📌 
🏆TAU - True Asset Unit || The Decentralized Coin || An Experimental Proof of Transaction Coin On Mobile Mining || POT🏆

Tags: